Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 336
By saying full stack programmer you mean?
umeeleza vizuri ila tat
Wao wanaangalia wanapataje faida, lakini anyway tutaelewana tuumeeleza vizuri ila tatizo ni huyu View attachment 2482821
Kwanini, hukukidhi vigezo?Alx ni moto wa kuotea mbali mkuu 10 hrs per day si mchezo mimi walini disqualify ila wanaigeria na wakenya wamejazana huko 🤔🤔😂
Unasema full stack na wala haujui ina maana gani 😀
No niliwapotezea mkuuu ndo maana we kufundishwa na kusoma masaa 10 daily unadhani mchezo mixer hela ya bando juuu ohooo yaani ni kisanga tu nikapita hivi na account yangu wakafutaKwanini, hukukidhi vigezo?
Yes na wanaweka jina lako kwenye soko la ajira kabisaBaada ya masomo wanatoa cheti???
Mweh!!usinambie,mbona ni jambo jema tuu,sasa huyo kwenye picha hapo juu anahofiwa kwanini eti,sijaelewa??Yes na wanaweka jina lako kwenye soko la ajira kabisa
Kama Amazon,Ms,oracle, na NGOs maana nondo ni kali sana unatoka upo freshh kabisa 😹
Sio kwamba anahofia ila tu ni kwamba material zao ni heavy duty hivyo inakugharimu usome 10 hours dailyMweh!!usinambie,mbona ni jambo jema tuu,sasa huyo kwenye picha hapo juu anahofiwa kwanini eti,sijaelewa??
Ooh!muda ninao,sema mshikemshike ni 5000 bando kila siku.ni lazima uwe na desktop au laptop pekee,mobile haiwezekani??Sio kwamba anahofia ila tu ni kwamba material zao ni heavy duty hivyo inakugharimu usome 10 hours daily
Sasa kama umeajiriwa au unabiashara hutaweza maana masaa au muda wako mwingi utaliwa unless uwe unalala 4 hours or less in a day
Pia inahitaji kichwa kilaini uweze kumeza na kuelewa hivi vitu
Pamoja na mtaji wa bando mxuri wa 5000 au zaidi daily
Pamoja na ufuatiliaji wa kina na kufanya daily test zao
Ndo maana mtoa mada kanywea 😹😹😹 hata Mimi nilinywea
Kwa mobile ni changamoto sana labda kama unasimu yenye interface nzuri lasivyo pc ni muhimu sana mkuuuOoh!muda ninao,sema mshikemshike ni 5000 bando kila siku.ni lazima uwe na desktop au laptop pekee,mobile haiwezekani??
Sawa.na kozi ni hiyohiyo tu ya software eng? Hakuna kozi za data mf.data analysis,data science,database admin etcKwa mobile ni changamoto sana labda kama unasimu yenye interface nzuri lasivyo pc ni muhimu sana mkuuu
Maaana kuna mambo ya programming na web designing na sql systems zote hizo zinataka practical za kwenye desktop au pc
Ningeshauri uwe na laptop tu mobile si vixuri kwenye mambo haya
Na bando hapo ukibania sana itakukula 3k daily
Maana wana magroup yao Whatsapp kama 2 na members 500 each pia
Wana magroup kwenye app ya slack
Hivyo ni kazi kweli inataka unlimited bundle
Ila ukifocus unatoboa tu
No course ni hiyo tu mkuuu 😂Sawa.na kozi ni hiyohiyo tu ya software eng? Hakuna kozi za data mf.data analysis,data science,database admin etc
Wanatoa cheti na kukuunga kwenye community yao ambayo kunakua na fursa za kazi ukibahatikaBaada ya masomo wanatoa cheti???
Sawa.na kozi ni hiyohiyo tu ya software eng? Hakuna kozi za data mf.data analysis,data science,database admin etc
Ooh!muda ninao,sema mshikemshike ni 5000 bando kila siku.ni lazima uwe na desktop au laptop pekee,mobile haiwezekani??