Nashukuru sana mkuu MWIFAHatua nzuri.
Ushauri wangu, jaribu kufanya utafiti kuhusu walimu maarufu wa hesabu za Advance waliopo mjini(Mchikichini, Mwenge, Temeke) akina Mwalami, Muhunzi n.k halafu utengeneze programu ambayo ni tofauti na wao ili uvutie wanafunzi.
Asilimia kubwa watu wanaelekeza wadogo/watoto wao waende Mchikichini kwa Mwalami, Temeke kwa Muhunzi au Mwenge maana -ao ndio waliozoeleka sana.
Jitahidi usambaze vipeperushi mapema mashuleni kabla shule hazijagungwa ili wanafunzi wawe washapata taarifa yako.
Tengeneza vipeperushi vya kutosha, tafuta mtu avisambaze shule kubwa za mjini(Azania, Tambaza, Jangwani, Benja, Kibasila, Loyola, Pugu, Minaki) . Vipeperushi vikiwafikia hao na wao watawapasha marafiki zao wengine wa mikoani wanaotarajia kuja kusoma tuit huku mjini.
Hakikisha kazi unaipiga kwa umahiri wa hali ya juu kulingana na uwezo wako, hakuna litakaloshindikana.
Mwanzo ni mgumu, usife moyo, ukipata hata wanafunzi watano piga pindi....
Ntalifanyia kazi mkuu, acha kwanza nianze na huu UziNdugu A-LUTA CONTINUA ACADEMY
Hongera kwa ulipofikia hadi sasa.
Mytake
- Ili ujumbe huu kwenye (posti ya kwanza) uwafikie Walengwa / wanafunzi / walezi wengi zaidi, Fanya yafuatayo
1. Fungua Instagram account
2. Weka post moja, kisha
3. Ifanyie promo kwa kulipia
Sababu walegwa wa rika hilo (Wanafunzi ) asilimia 95 wana insta / facebook account, hivyo watapata ujumbe kwa haraka sana, ila jiandae uwe na eneo la kutosha sambamba na walimu mahili.
==========
Update
- Anzia hapa hapa JF ku_promote hii thread yako, na hakika matokeo utayaona, wasiliana na JamiiForums au Maxence Melo wakupe utaratibu.
Kila lakheri
Sawa mkuu huo ushauri ntazidi kuetekeleza[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwa kuongezea anzisha na paper( series) labda kila jumamosi.
Utavuna madogo sana .
Nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunapiga Paper za pure Tandika kwa muhunzi na Mwenge mapambano.
Kuna madogo am sure washamaliza topic naw wanakuja likizo kupiga paper za kutosha .
blessed mkuu,,,hakika elimu ndiyo maarifaKwa wanafunzi wa A-level tu ( kidato cha 5 & 6 )
Katika somo la ADVANCED MATHEMATICS
(PCM, PGM, EGM)
MAHALI
Centre ipo buguruni rozana mtaa wa bahatisha, usawa wa dereva tax kama unaelekea bondeni mtaa wa pili mkono wa kulia
Kwa wazazi/walezi mliokua na vijana wenu wanaohusika na ADVANCED MATHEMATICS, Niwakaribishe kwa kuwahakakishia maendeleo kwa kijana wako
Wanafunzi wanaochukua ADVANCED MATHEMATICS katika michepuo yao, MNEGRO THE GREAT kwa uhakika wa ufaulu wako
BEI NI NAFUU SANA KULINGANA NA HALI ZA UCHUMI NA PIA BEI NI KULINGANA NA TOPIC HUSIKA,
"UPDATES" ZOTE ZITAKAZO HUSIANA NA A.C.A ZITAPATIKANA HAPA
SAMBAZA KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
MATHEMATICS SIO TENA UGONJWA WA TAIFA
Nakaribisha ushauri, mawazo au aina yoyote ya mawazo katika kujenga [emoji120] [emoji120] [emoji120]
View attachment 1105540
Pamoja mkuu, movement on going [emoji91] [emoji91] [emoji91]blessed mkuu,,,hakika elimu ndiyo maarifa
poa nishaitumia mahali kwa social networks nyinginePamoja mkuu, movement on going [emoji91] [emoji91] [emoji91]