CCM IENDELEE NA EPA, ESCROW, KUUZA MENO YA TEMBO etc??
UCHUMI uendelee kufa? Afya, Elimu, Miundombinu iendelee kufa??? Dola iendelee kupanda? $1=6000TShs??
ACT inayofadhiliwa na CCM???
Wanaotaka CCM iendelee kuongoza ni wale tu ambao hawajatembea na kuona nchi nyingine zinavyopiga hatua kimaendeleo nchi zina mipango ya maana ya maendeleo so tunaishia kuandaa mipango ya miaka 5 inayotupeleka kwenye uchaguzi. Ili nchi ipate economic transformation hatuwezi kuishi kwa mipango ya miaka 5.Viongozi na Taasisi za nchi yetu ama hawana maono au hawana uzalendo kwa taifa lao maana haiwezekani wasijue/kuona kinachoendelea katika nchi nyingine hata kwa kuiga tu yanayofanyika huko. Kwa msingi huo nampuuza mtu yeyote anayetetea asichokiamini