Alteza na ndoto ya drifting

Alteza na ndoto ya drifting

Kwanini unataka drifting?
FB_IMG_17410112707108618.jpg
 
Hii ilikuwa gari yangu ya kwanza miaka 9 iliyopita nikiwa nimemaliza chuo.
Ni gari ngumu sana, na inakimbia yani kwa vijana ilikuwa poa sana. sema ilikuwa automatic. Niliiuza baada ya rafiki yangu kuipga mzinga. Niliiuza hivyo hivyo ilikuwa imeharibika ubavuni na vioo kupasuka ila inatembea. Hadi leo napishanaga nayo bado inadunda.
Kuna vijana😀😀😀Tulianza ligi pale segera wakasingizia taa yangu kali sana inamulika kioo chao ..wao walikuwa mbele mie nyuma😀😀😀😀TEZA kama Teza
 
Back
Top Bottom