mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
ni bora tangazo nalo uliweke whatsapp
Wasapu ya wapi we lete picha
achana na mambo ya wasap, weka picha na bei hapa, au hilo gari huna?
Uwe unatumia uc browserJaman natumia opera mini so kutuma picha ni ngumu kidogo ila app ya JF inadownload so soon nazileta picha
Uwe unatumia uc browser
Jibu swali hilo, na uweke odometer readingNi four cylinder au six n?
Jibu swali hilo, na uweke odometer reading
Ni four cylinder au six n?
Jibu swali hilo, na uweke odometer reading
Tangazo namba nyingine gari namba nyingine. . . . . .au hujui namba ya gari yako!!???
So ukiuza gari na mafuta pia huweki???!!!
maswali kibao,una pesa ya kununua?au bla bla tu,unamchosha mwenzio.Tangazo namba nyingine gari namba nyingine. . . . . .au hujui namba ya gari yako!!???
So ukiuza gari na mafuta pia huweki???!!!