Kwa Windows, the real alternative is FDM.
DTA is not alternative to IDM. Its no match in features. But I like the simplicity of DTA and I use it for all my normal downloads mostly!
mkuu unaweza kunisaidia link ya iyo FDM
GetGo inanikosha sana kwa speed ni balaa asee
Hiyo ni kwaajili ya youtube kaka je umejaribu kupakua vingina kwa hiyo?
FDM ndiyo mbadala wa idm tena FDM haina longo longo yaani unakamua longlife
Hii zote FDM na GetGo zote ninazo ila kwa speed FDM hachungulii kwa GetGo na nimesha compare nikaliona hilo sema kwamba GetGo kitu ambacho haina ni torrent client. Pia kwa swali lako ni kwamba hiyo kitu naitumia kudownload software nyingi tu hata service pack 1 ya windows 7 nilitumia hiyo GetGo
IDM yatosha.