Alsharpton FBI informant ?

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,898
Yaani huko tweeter magazetini TV wamereport kuwa Alsharpton ame report watu kibao wa Nguvu na mobs sasa specially black .Sasa Hivi Alsharpton will be live on TV kuelezea hayo .Nilikuwa najiuliza how did Alsharpton secure Msnbc job ? Majina yashaanza kutajwa
 
Ndo nani jipange mkuu uandishi gani huu,?
 


Natalia tatizo lako unadhani kila mtu anaishi USA au anafuatilia politics za Washington kiasi kwamba mtu kama Alsharpton ni kama maarufu kama Lema hapa!

...huku tuko busy na katiba mpya na kujitafutia ugali wetu wa kila siku wengine hata hiyo MSNBC hawaangalii. Jitahidi uwe unaweka hata link ili watu waelewe unaongelea nn....



Haya endelea kutumwagia kasema nn huko MSNBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…