Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,161
- 10,879
Hii mitandao miwili ina mambo mengi inayofanana.Kubwa kati yao ni kwamba yote ni mashirika yanayotumiwa na mafisadi.Yote ni makampuni ya mifukoni.
Wakati Richmond inasemekana kumilikiwa kihewa na watanzania na inafanya ufisadi Tanzani.Hii Alqaida inamilikiwa na CIA ya Amerika na inafanya ufisadi kwa binadamu kote duniani.
Ikisemwa Alqaida wamepost kwenye mtandao wao jambo fulani ningetaraji nikitafuta kwenye internet hata kama Marekani,Aljazeera, CNN na BBC.... hawakuutaja huo mtandao basi ningeziona hizo habari.Hakuna siku nimefanikiwa kwa lugha zote muhimu nizijuwazo.
Nijuwavyo huwa ni wenyewe CIA wanajisemesha na kujijibu kama alivyofanya Osama kujipiga picha akijiangalia mwenyewe kwenye TV.
Huu mchezo naufananisha na ule wa Jurrasic Park na hatimae itabidi itolewe tunzo.Nitaeleza kwanini hapo baadae....