Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amefichua kuwa aliwahi kushika nafasi ya mshauri wa juu wa viongozi wawili wa Afrika: Rais wa zamani wa Zambia, Mheshimiwa Michael Sata, na Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mheshimiwa Joseph Kabila.
Temba anasema moja ya ushauri wake mkubwa kwa Kabila ulikuwa ni kuzimwa kwa mtandao wa simu na intaneti wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi kupitia CENI (Tume ya Uchaguzi ya DRC), kwa nia ya kudhibiti taarifa potofu na taharuki.