Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Viongozi waandamizi walioko jijini Mwanza pamoja na Wabunge wa Kambi ya Upinzani ambao wameshafika hapa jijini Mwanza watazungumza na waandishi wa habari saa sita mchana, Gold Crest Hotel. Chombo chako kinakaribishwa.
Makene.
Umenena vema.Marehemu hana la kuteseka tena best... mateso yake yaliishia kwenye tone lake la mwisho la damu baada ya unyama alofanyiwa
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?
Siasa za matukio, hadi kwenye misiba, dhambi kubwa!
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?
mzikeni jamani,kwa nini mnamtesa namna hii marehemu?
Hamna kitu kama hicho. Wanamtesa kwa vipi?
mzikeni jamani,kwa nini mnamtesa namna hii marehemu?
mzikeni jamani,kwa nini mnamtesa namna hii marehemu?
Serikali ya Magufuli ndiyo inayomtesa.mzikeni jamani,kwa nini mnamtesa namna hii marehemu?