Unajua kuna watu hawana akili, mfano unakuta mtu anamshabikia asadi mvunja kanuni na taratibu, mara mtu analeta mada kusema msikiti umevunjwa kumbe ujenzi umesitishwa etc watu ka hao ni bora wawe pimb
Hiyo hapo nilipiga picha hapo maeneo ya Mnazi mmoja(Pugu Road).Hizi gari zipo sana mitaa ya posta especially maeneo yenye Bureau de change...View attachment 983820