Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
Hapo sijamtaja JK nimesema Magu,mtoto wake amepelekwa Feza.Soma ndugu uekewe usikurupuke.Mimi sijapinga wao kupeleka watoto wao kokote point ni kuwa wafanye/tufanye juhudi kuakikisha shule za serekali zinatoa elimu katika ubora wa hali ya juujk
Jk mtoto wake alisoma Kibaha boys usiongee kitu usichokijua
MaguUnazungumzia Rais gani mkuu!?
Bei elekezi serikali si wameshalipinga suala hilo mkuuMheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam
Ada ziko juu sana ..ada ya mtoto anaetaka kukaa Bweni ni shs milini tano na laki sita...bado michango mingine mingine
Rais wetu mpendwa njoo utusaidie wananchi wako tunaimia sana pamoja na kuwa elimu ni haki ya kila mtanzania
Profesa Wahenga ndio nani?Alpha...
Shule ya profesa Wahenga..
Hizi ndo roho za kimasikini tunazosema.... mtu kama huna uwezo wa kulipia usipondee tena kwa kugeneralize, mbali na kumpeleka mtoto private schools kwa kigezo cha performance lakini private zenye kueleweka ukichanganya na malezi ya nyumbani mtoto anakua na vitu vingi special kuanzia kujiamini, talents, exposure N.k... elimu ni zaidi ya makaratasi ya vyeti. Mtu kama una uwezo kwa bora elimu iliyopo public schools peleka tu mtoto private especially elimu ya msingi ukijaaliwa unamaliza mpaka six na chuo unamtafutia scholarship nchi ya kueleweka akirudi nyumbani anakuja kuendeleza business za maana sio kukimbizana na take home za 450KTofauti ni kuwa shule za serikali hazinunui mitihani ya necta na mwanafunzi anafaulu kwa akili na jitihada zake,no spoon feeding
Ndo maana serikali ikaja na shule zake za kata ni uamuzi wako kumpeleka mtoto shule zenu za kujua kiingereza na milioni tano au kumpeleka kwenye shule za kata na nauli yake na sh 100 ya kula andazi mwisho wa siku mtihani ni mmoja ...chukua hatuaBei elekezi serikali si wameshalipinga suala hilo mkuu
Unamtafutia scholarship ya nini?Pambana kama mwanaume umsomeshe mtoto wako nje ya nchi huko.Hizi ndo roho za kimasikini tunazosema.... mtu kama huna uwezo wa kulipia usipondee tena kwa kugeneralize, mbali na kumpeleka mtoto private schools kwa kigezo cha performance lakini private zenye kueleweka ukichanganya na malezi ya nyumbani mtoto anakua na vitu vingi special kuanzia kujiamini, talents, exposure N.k... elimu ni zaidi ya makaratasi ya vyeti. Mtu kama una uwezo kwa bora elimu iliyopo public schools peleka tu mtoto private especially elimu ya msingi ukijaaliwa unamaliza mpaka six na chuo unamtafutia scholarship nchi ya kueleweka akirudi nyumbani anakuja kuendeleza business za maana sio kukimbizana na take home za 450K
Money is b'ful... I am a very big fan of what money can do.
Scholarships zipo ili zitumike.... tumia akili sio nguvu, kama mtoto ana uwezo why asipate scholarship??? Ikikosekana unapambana unalipa. But katika kila hatua kama kuna upenyo wa mwanangu kusoma comfortably @ good quality why not hustling for a scholarship?????Unamtafutia scholarship ya nini?Pambana kama mwanaume umsomeshe mtoto wako nje ya nchi huko.