Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,394
- 17,757
Inakwenda kwa jina la Human race. Ina nyimbo kumi na moja. Mkongwe huyo wa muzic wa raggae barani Afrika amewashirikisha baadhi wa wanamuziki nguli wa afrika. Fally Ipupa, Angelina Kidjoh na Yousou Ndour. Albam hiyo mpya inazinduliwa leo tarehe 31/08/2018. Kwa wapenzi wa Muzic wa reggae kaeni kmkao wa kula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app