Karibu jamiiforums ,bado una thamaniNaweza nikajiita loser. Niliutumia ujana wangu vibaya sana. Nilijiona mimi ndio mimi. Sikutaka kuwa na mahusiano ya kudumu. Nilipenda kupita bila kujali hisia za wale ninaowahitaji.
Nilijiona mimi bora kuliko wengine. Nikawadharau waliojitoa kwaajili yangu. Hakika nilijua kuchezea mioyo ya wanawake.
Japo sina mvuto, hela wala sikutokea kwenye familia ya kitajiri, lakini nilikua na maneno ya ushawishi. Nilikua nina maneno ya kuwakamata walionipa muda kunisikiliza.
Idada ya walionikubali ilinitia kiburi nikajiona hakuna wa kunizingua..
Nikasahau kuwa umri unaenda na mambo yanabadilika. Kila niliyekua naye enzu hizo ameshapata mwenza wa maisha. Wote wameshaanzisha familia. Ule ujana umenitupa. Hata fikra sio kama za zamani.
Kila nikijitahidi kutafuta wa kunielewa na kujitoa kwaajili yangu, sipati tena. Nakutana na wanaohitaji hela na kuhudumiwa kila kitu. Yaani mahusiano yetu ndio yawe yana provide kila kitu kwao.
Maneno matamu yameniisha kinywani mwangu. Yale majivuno sina tena. Kila nikiangalia nilipotoka, najiona nimepoteza sana. Najiona nastahili kupitia haya.
Hivi sasa nipo mwenyewe na mpweke. Sina wa kupiga naye story, sina wa kutokaa naye. Sina wa kuchat naye, sina wa kubebishana naye, sina wa kunijulia hali, sina wa kuniuliza nimeamkaje, sina wa kutaka kujua nimekula au sijala, sina wa kutaka kuja japo kunioshea vyombo.
Yaani kwa ufupi nimepoteza kila kitu...
Nimemaliza
Kutafuta kuna kukosa na kupata. Raha upate wa kukufariji pale unapokosa. Hao waliionyesha kunifariji niliwazingua nikajiona mimi ndio mimi. Saizi nakutana na ambao ukikosa, anatafuta mwingine fasterPesa itatatua changamoto nyingi sana ulizozitaja l, kama sio zote. TAFUTA PESA!
Nimekupunguzia upweke kidunchu si ndiyo?Hivi sasa nipo mwenyewe na mpweke. Sina wa kupiga naye story, sina wa kutokaa naye. Sina wa kuchat naye, sina wa kubebishana naye, sina wa kunijulia hali, sina wa kuniuliza nimeamkaje, sina wa kutaka kujua nimekula au sijala, sina wa kutaka kuja japo kunioshea vyombo.
Inawezekana ila najiona nimechelewa. Siwezi kupata wangu nitaishia kutembea na wapenzi wa watu. Shida ni kwamba wakati wa kufanya hayo umepita natamani ningekua na wangu mmoja tu ambae tungekua tunakumbushana mbali tulikotokaWewe tu hujaamua,,, mbona kuna wanaume wanaopoa mabinti hata miaka 70?
Utakuwa na uchu wa mbunye "nyege"Naweza nikajiita loser. Niliutumia ujana wangu vibaya sana. Nilijiona mimi ndio mimi. Sikutaka kuwa na mahusiano ya kudumu. Nilipenda kupita bila kujali hisia za wale ninaowahitaji.
Nilijiona mimi bora kuliko wengine. Nikawadharau waliojitoa kwaajili yangu. Hakika nilijua kuchezea mioyo ya wanawake.
Japo sina mvuto, hela wala sikutokea kwenye familia ya kitajiri, lakini nilikua na maneno ya ushawishi. Nilikua nina maneno ya kuwakamata walionipa muda kunisikiliza.
Idada ya walionikubali ilinitia kiburi nikajiona hakuna wa kunizingua..
Nikasahau kuwa umri unaenda na mambo yanabadilika. Kila niliyekua naye enzu hizo ameshapata mwenza wa maisha. Wote wameshaanzisha familia. Ule ujana umenitupa. Hata fikra sio kama za zamani.
Kila nikijitahidi kutafuta wa kunielewa na kujitoa kwaajili yangu, sipati tena. Nakutana na wanaohitaji hela na kuhudumiwa kila kitu. Yaani mahusiano yetu ndio yawe yana provide kila kitu kwao.
Maneno matamu yameniisha kinywani mwangu. Yale majivuno sina tena. Kila nikiangalia nilipotoka, najiona nimepoteza sana. Najiona nastahili kupitia haya.
Hivi sasa nipo mwenyewe na mpweke. Sina wa kupiga naye story, sina wa kutokaa naye. Sina wa kuchat naye, sina wa kubebishana naye, sina wa kunijulia hali, sina wa kuniuliza nimeamkaje, sina wa kutaka kujua nimekula au sijala, sina wa kutaka kuja japo kunioshea vyombo.
Yaani kwa ufupi nimepoteza kila kitu...
Nimemaliza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umeshindaje braza? nusuhela I hope you had a wonderful day, na dinner umeipata kwa wakati.
Sasa ni saa za kulala. Usiku mwema na njozi njema ... Malaika wa Mungu wakulinde nyakati zote.
Nimekupunguzia upweke kidunchu si ndiyo?
Hizi bikini zinauzwa?... NaMiss kinachohifadhiwa na hizo bikiniTafuta hela ,
Tafuta hela ni jawabu la mahitaji yako.
Mkuu toka huko kwenye ku feel guilty,,, ruhusu kupenda na kupendwa tena,, some people find love at 60's,,, it doesn't matter how your story has been,,,,,you can still find that special someone,,,be happy and confident with yourself and actively search for that special someoneInawezekana ila najiona nimechelewa. Siwezi kupata wangu nitaishia kutembea na wapenzi wa watu. Shida ni kwamba wakati wa kufanya hayo umepita natamani ningekua na wangu mmoja tu ambae tungekua tunakumbushana mbali tulikotoka
Namba inasoma ngapi now? Wachana na wapenzi wa watu. Muombe Mungu akuoneshee wako ni yupi...Inawezekana ila najiona nimechelewa. Siwezi kupata wangu nitaishia kutembea na wapenzi wa watu. Shida ni kwamba wakati wa kufanya hayo umepita natamani ningekua na wangu mmoja tu ambae tungekua tunakumbushana mbali tulikotoka
Vipi bado haumuamini Mungu na haukubali uwepo wake?Naweza nikajiita loser. Niliutumia ujana wangu vibaya sana. Nilijiona mimi ndio mimi. Sikutaka kuwa na mahusiano ya kudumu. Nilipenda kupita bila kujali hisia za wale ninaowahitaji.
Nilijiona mimi bora kuliko wengine. Nikawadharau waliojitoa kwaajili yangu. Hakika nilijua kuchezea mioyo ya wanawake.
Japo sina mvuto, hela wala sikutokea kwenye familia ya kitajiri, lakini nilikua na maneno ya ushawishi. Nilikua nina maneno ya kuwakamata walionipa muda kunisikiliza.
Idada ya walionikubali ilinitia kiburi nikajiona hakuna wa kunizingua..
Nikasahau kuwa umri unaenda na mambo yanabadilika. Kila niliyekua naye enzu hizo ameshapata mwenza wa maisha. Wote wameshaanzisha familia. Ule ujana umenitupa. Hata fikra sio kama za zamani.
Kila nikijitahidi kutafuta wa kunielewa na kujitoa kwaajili yangu, sipati tena. Nakutana na wanaohitaji hela na kuhudumiwa kila kitu. Yaani mahusiano yetu ndio yawe yana provide kila kitu kwao.
Maneno matamu yameniisha kinywani mwangu. Yale majivuno sina tena. Kila nikiangalia nilipotoka, najiona nimepoteza sana. Najiona nastahili kupitia haya.
Hivi sasa nipo mwenyewe na mpweke. Sina wa kupiga naye story, sina wa kutokaa naye. Sina wa kuchat naye, sina wa kubebishana naye, sina wa kunijulia hali, sina wa kuniuliza nimeamkaje, sina wa kutaka kujua nimekula au sijala, sina wa kutaka kuja japo kunioshea vyombo.
Yaani kwa ufupi nimepoteza kila kitu...
Nimemaliza
Atamuombaje Mungu wakati haamini kama yupo?Namba inasoma ngapi now? Wachana na wapenzi wa watu. Muombe Mungu akuoneshee wako ni yupi...