Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,969
- 5,919
Ndugu wana jf.
Katika kipindi nimewaona malaika wakinipigania ni usiku wa kuamkia leo ndugu zangu.
Baada ya kuzinguliwa job kutokana na itilafu za mitambo za hapa na pale nikaona hakuna haja ya kurejea home mapema kwenda kupigiwa kelele na mtoto wa watu na vile weekend imeanza nikajisemea acha nikasuuze koo na macho mitaa flani huko mbali
Wakuu kadiri ni livyo kua na suuza koo ndivyo kadiri macho yalivyozidi kufumbwa na shetani. Ilifikia mahali nikaona sasa acha nitafute samaki wawili watatu wa kunitoa wenge kimnya kimnya huwezi amini kila nikigeuka naona wanawake wamevalia nusu uchi huku wengine wameachia matritri wazi wazi na wengine wakijinadi kwa style zao huku wakikufunulia maeneo uangaze kidogo.
Katika harakati za kuangaza angaza gafla alitokea dereva toyo nikajikuta na msimamisha na kumwagiza anipeleke home moja kwa moja nilitajiwa bei hata akili ya kuomba punguzo haikuwepo kabisa ila nashukuru home nilipokelewa salama tuu na hata sikupata makelele zaidi tuu ya wewe endelea kunitesa tena kwa sauti ya upole sana.
Nimeamka leo na malizia nusu day yangu hapa asee.. na waza sana jana nilikua ni nunue maradhi nikaue mtoto wa watu alafu nibakie kujutia sana.
. Wanaume wenzangu tukiwa na hasira za job tusiwe tunapita maeneo ni mara mia uende nyumani mama watoto akakupigie makelele na utelezi akupe kwa password kuliko maeneo yale.
Nafsi yangu inaniambia nilikua na nunua ngoma kwa hela zangu mwenyewe.