Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

Mimi mtoto wa dar mazese ngumi jiwe njoo kazi yangu boxing napigana na kulipwa

Sasa boxer halaf unaamini mtu hawezi kujitetea?
Sasa mtu asie boxer aseme nn?

Wewe hapo mkuu ukivamiwa usiku na kundi la vibaka wenye visu na mapanga utatulia tu wachukue kila kitu?

Lazima upambane kama mtoto wa kiume, ni bora ukubali kufa watu waje wachukue maiti yako kuliko kufirwa unatazama tu

Vinginevyo labda story yenyewe ya yongo
 
Ndingi huyo jamaa yako sio mkweli ameliwa mimi hao mabausa waje hata 10 lazima wakae
 
Mnhhhh hongera sana
bouncer wa nne ukawazidi nguvu?

Duuuh!Kama movie vile.....

Hata hivo jamaa ana huruma hadi akawaza "kukupaka mafuta" pole lakini na hongera kwa kunusurika kuliwa kalio

Zako zilikua mbali Una Bahati Sana wangekuoa Tu

Wangekupiga picha saa hizi ungekuwa superstar town
l huo ni uongo wa wazi, alishaliwa kiboga uyo jamaa, mabansa wanne, atawashindaje mtu mmoja? hivi unategemea jamaa angekuja hapa na makomfo yote atueleze kwamba aliliwa kiboga?hahahaha, anajifariji hapo kujiliwaza, hakuna mtu anayeweza ku buy story yake hii.
 
Mkuu mimi nakupa hongera sana maana wewe ni mshambuliaji mzuri. Mshambuliaji mzuri sifa yake kubwa ni kufunga magoli katikati ya walinzi.Kunusurika kuolewa ni ajali kazini tu hivyo isikukatishe tamaa.Neymar alivunjika mgongo wakati timu yake ya Taifa ikicheza na Colombia wakati wa fainali za kombe la Dunia mwaka 2014 kule Brazil lakini hakukata tamaa na mpaka leo anaendelea kushambulia na kufunga mabao mengi tu hivyo na wewe endelea kukamua hivyo hivyo mkuuuu !!
 
Wana jamvi nawasalim,

Mwaka 2013 nilitokea kumpenda Dada mmoja hapa kazini kwetu, alikua ni kiongozi ktk moja ya idara za hili shirika letu, hatukua tunafahamiana personally isipokua kwa kupishana Mara kwa Mara hapa mjengoni, yy flour ya 4 mm ya 6.

Uzuri wake hauna maelezo ya kawaida, hakua akivaa Pete hivyo nilidhani hajaolewa, pia ni msichana mwenye kujisikia sana na hubadilisha magari Mara kwa mara, kumbe mumewe ni mtu mwenye pesa, nilifahamu baadae.

Nikaweka mkakati kumnasa, wanaume wengi walimuogopa hasa jinsi ya kumuingia maana haongeai na wala hana ukaribu wa kijinga na wanaume, ila mm nikajitia kichaa nikajilipua, nikapokelewa kwa mikono miwili, hakutaka guest za kipumbavu, Mara zote tulienda hotelini na alilipa yy gharama zote, kula kunywa na mengineyo.

On that fateful day, huyu Dada hakuja kazini kwa siku tatu, wed, Thurs, and Friday, nilishtuka maana kila nikipiga simu hapokei ana jibu kwa sms tu kwa hizo siku tatu zote, ila Jumapili asubuhi ikaingia sms kuwa tuonane kule kule hotelini tunakoendaga mchana wa saa Tisa, nilipomuuliza mbona hupokei simu akajibu hakua anajisikia vizuri isitoshe mumewe alikua karibu.

Saa Nane na nusu akanipigia kuniuliza kama nimefika maeneo ya hotelini nikajibu ndio ila nipo nje nakusubiri, maana mlipaji siku zote huwa ni yy, nilishangaa alikua na sauti ya unyonge sana inayokatika katika, akafika akalipa akaingia room akaniita nami nikaingia.Alikua na michubuko mkononi na pia kama vile uso umekua mwekundu, akadai walikua na matatizo kidogo na mumewe nisijali sana.

Kila nikimwambia tuvue nguo sasa tuanze zoezi ananiuliza una haraka gani? Huku akiwa busy kuchati, muda kidogo, mlango unasukumwa watu nisiowafaham wanaingia chumbani na kufunga mlango, kumbe yule Dada huenda aliufungua kwa maksudi wakati nimeingia chooni, walikua watu wanne wenye muonekano wa kuinua vyuma na mmoja mwembamba ambae ndie Mume wa mpenzi wangu.

Walinivaa na kunikamata kwa nguvu na kunibana kiasi cha kushindwa kutikisa hata kichwa, yule Mume aliniambia tumekuja humu kukuoa, lazima tukukojolee na wewe, umeniumiza moyo kwa kipindi kirefu Leo ni zamu yako, mtoeni hiyo boxer mpakeni mafuta mumuoe watu wasije wakashtuka huko nje.

Baada ya Maneno hayo sikuwahi kuingiwa na nguvu kama siku hiyo, na sijui zilitoka wapi, nilikumbuka neno moja la baba yangu wakati natairiwa 1999 kule nyumbani musoma, nanukuu, nilitahiriwa ukubwani.

"" Leo mwanangu umetahiriwa na kisu bila ganzi na hukutoa machozi, umevuka kigezo cha ujasiri kwa mila zetu, lishinde lolote linalokuja mbele yako kama ulivyoyashinda maumivu ya kutahiriwa na kisu bila ganzi""

Nilimkamata jamaa alienipiga roba na kumdandia hadi kuniachia, niliwang'ata kwa meno kila alieleta mkono, nilirusha mateke hovyo bila mpangilio, tulisumbuana mle ndani kona moja hadi nyingine, nikaanza kupiga kelele weziii wezii kwa nguvu kubwa hadi walinzi na staff wa hotel na hotel manager wakaja na kugonga baada ya kusikia zile purukushani na kelele za weziii
Wakaweka chini ya ulinzi kwa kuleta fujo, nikaambiwa nivae, tulikua tunavuja damu wote na TV ikiwa vipande vipande, hali ya mule haikua inatamanika, walikua wamenidunda sana ingawa walishindwa kunithibiti, kumbe huwa ni woga tu unaofanya watu kulawitiwa, sikuogopa kabisa vitisho vya kuniua, niliwajibu nipo tayari kufa kuliko kuolewa.

Tukasombwa wote hadi polisi, kwa uharibifu wa Mali, yule jamaa baadae akatoa kiasi cha pesa kwa mhindi, watu wa hotel wakaondoka baada kuchukuliwa maelezo, baadae tukaachiwa wote na kuambiwa turudi pale Jumatatu asubuhi, OCD akasema huyu abaki kwa usalama wake, nikatoka Jumatatu, tukafanya mazungumzo pande zote, jamaa alikua akilia kwa hasira muda wote, akisema atanipata tu, vitisho vile vikachukuliwa kama ushahidi na akaonywa kwamba nikidhurika tu ni yy, akakataa kwenda mahakamani kwa ajili ugoni kama alivyoshauriwa.

Yaliendelea mengi sana baadae kwenye sakata hilo ambalo lilifika hadi kazini, lakini mwisho wa yote mungu alinishindia, nipo kazini hadi sasa, yule dada alizuiwa na mumewe kufanya kazi, sijui wanaendeleaje hadi sasa.

Hadi sasa najiuliza kwanini yule Dada aliamua kunisaliti na kunilengesha kiasi kile, akisahau mapenzi yote niliyompa aliyodai kakosa kwa mmewe, isitoshe mwanzo yeye mwenyewe alidai hajaolewa baadae ndipo akasema ukweli, na kwamba wao wasabato huwa hawavai Pete ndio maana sikuiona.

Naomba mjifunze mke wa mtu sumu.

UNGEOLEWA TU MAANA HAMNA TENA NAMNA YA KUKUFANYA USIPENDE DEZO. MAANA TUNAIMBA KILA SIKU USIPENDE DEZO TENA MBAYA ZAIDI FROM A LADY WE UNAKAIDI. NASEMA NA UOLEWE TU. TIT FOR TAT shukuru mizimu ya kwenu nyambafffff
 
UNGEOLEWA TU MAANA HAMNA TENA NAMNA YA KUKUFANYA USIPENDE DEZO. MAANA TUNAIMBA KILA SIKU USIPENDE DEZO TENA MBAYA ZAIDI FROM A LADY WE UNAKAIDI. NASEMA NA UOLEWE TU. TIT FOR TAT shukuru mizimu ya kwenu nyambafffff

Hivi inakuaje mdada mwenye kazi yake kama huyo na tena mumewe tajira anampa expensive cars, lakini bado akaenda kumkubali huyu kijana wa kazini, what happened?

I thought money is everything

Hebu tumjadili na hiyo Dada kidogo
 
Hivi inakuaje mdada mwenye kazi yake kama huyo na tena mumewe tajira anampa expensive cars, lakini bado akaenda kumkubali huyu kijana wa kazini, what happened?

I thought money is everything

Hebu tumjadili na hiyo Dada kidogo
Mapenzi sio pesa otherwise masikini /fukara wasingeoa/olewa. Mapenzi ni hisia. Hii inawatesa sana wanaume wengi. Wanatumia fedha nyingi kulegeza tu hisia kwa nuda. Hisia halisi hudumu na hujitokeza bila kichocheo. Mtu unanpa fedha kibao magari dhahabu kila anachotaka lkn hicho sicho kilichomtoa kwao. Pia handling ya mwanamke ni very tricky unapaswa kuwa mjanja kuliko kawaida. Wapo rahisi kuhandle wapo wengine unahitaji to go an extra mile. Na wanaume wengi very sekfish in bed. Anafikiri kazi yake ni kukojoa tu basi. Hajali mwenzie katosheka au vipi. Na hili ndio hasa linalopelekea ndoa nyingi kudorora. Mwanamke yuko tayari saa zote kwa mumewe lkn akifikiria pale bed tu hamu yote inaisha. Anafanya tu lkn moyo uko kwingine kbs. Sasa akipata mtu akimgusa kitofauti kidogo tu ujue ndoa kwishney. Jiangalie na wewe. Mbinu zipo nyingi kwa vile tu wanaume wagumu hampendi kuambiwa ukweli
 
Inategemea kuwa baunsa sio ishu hasa mabaunsa wa bongo wala mihogo mwili mkubwa nguvu na Akili kisoda.

Huyo jamaa si kwamba Hana nguvu ila aliwazidi Akili tu
 
Shenzi we!eti kwanini alikusaliti hujui kama aliangalia kupi kunahasara kubwa kuachwa au kukuswadaka?ungebakwa tu
 
Wangekula jicho but hongera kwa kusave maana ungekuwa huna amani kila unapokumbuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom