Almanusura afe kisa mapenzi

si angekufa kimya kimya tu kwann alipiga kelele?
Sure but, maisha yalivyo siku hizi kufikia umamuzi huo ni rahisi sana ndugu. Kinachotusaidia ni kwa vile Mungu yupo na wenyewe kwa wenyewe kupeana moyo tuvuke changamoto.
I totally understand your response though. Umeona maisha si kitu, kama vipi afe tu. This reflects on your life, ungekua unathamini maisha yako usingeweza kuimagine ni sawa mwenzio kutoa yake.
So either unapitia/umepitia mazito kwene maisha yako ama basi wewe ni mtoto aliyedekezwa sanaaa, na hata kuamini hapa duniani kila mtu anatakiwa kumpa kipaumbele yeye. Thats why u can't stand it when someone takes a spotlight or u can't understand someone else's burden.
 
Watu wanadharau mapenzi hapa ila yakiwakuta watakuja kuanzisha mada zao hapa.
MUNGU afukuze pepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…