Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,985
Miaka 18 ni mdogo? Unajua sheria ya ndoa ya mwaka 1971 mwanamke anaruhusiwa kuolewa na miaka mingapi?pole kwake, ila ameolewa akiwa bado mdogo. ... anaweza kushtakiwa na serikali kwa kosa la kujaribu kujiua.
si angekufa kimya kimya tu kwann alipiga kelele?
mmmh angekimbia tu basi.hizo mambo za kujiua hapana aisee
we mo14 umetoka wapi ?Huo umri si ajabu kwann kafanya maamuzi hayo. 18 ni umri ambao mtu hajakomaa kifikra kumudu ndoa tena yenye mateso kama ilivyoelezwa. Wachache wanaweza kuhimili katika umri huo
we mo14 umetoka wapi ?
14 sheria ya ndoa 1971Miaka 18 ni mdogo? Unajua sheria ya ndoa ya mwaka 1971 mwanamke anaruhusiwa kuolewa na miaka mingapi?
Ndio hivyo sasa huyo ni mkubwa sana14 sheria ya ndoa 1971
Bara gani,nchi gani,mkoa gani,wilaya gani,tarafa gani,kata gani,mtaa/kitongoji/kijiji gani,lini,saa ngapi na baadaye ikawaje?Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Beth (miaka 18), amenusurika kufa baada ya kunywa sumu ya panya. Katika chumba chao kulikuwepo na kisu ambacho inasadikika kuwa huenda alitaka kukitumia kujitoa uhai. Binti huyo alisaidiwa na majirani baada ya kupiga kelele za kuomba msaada alipoanza kupata maumivu ya tumbo na alipofikishwa katika kituo cha afya alipata nafuu na Leo ameruhusiwa kurudi nyumbani.
Chanzo cha mwanadada huyo kufikia hatua hiyo ni kutokana na mateso anayoyapata kwa mume na huku familia yake na ndugu wakimtaka avumilie na kuambiwa kuwa ndio ndoa zilivyo.
ninachomaanisha kwa huo umri ametumia muda mwingi shuleni na hajajua hasa ndoa inahitaji nn.Miaka 18 ni mdogo? Unajua sheria ya ndoa ya mwaka 1971 mwanamke anaruhusiwa kuolewa na miaka mingapi?