Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Hivi tuzo grammy unazichukulia poa kiasi hicho! Sema atafika hatua kubwa, sio amefika!!! kwani hiyo documentary imeshatoka tukaona impact zake?
Au umehesabu na yale matembo yanayopitapita kwenye ile video yake ya Lupela kama ameshafikia hatua kubwa?
Safi ni jambo zuri sana kafanya yule mwenzake alifanyia nyumbani akiwa uchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maTemboHivi tuzo grammy unazichukulia poa kiasi hicho! Sema atafika hatua kubwa, sio amefika!!! kwani hiyo documentary imeshatoka tukaona impact zake?
Au umehesabu na yale matembo yanayopitapita kwenye ile video yake ya Lupela kama ameshafikia hatua kubwa?
Hapo alikuwa anaogopa kulowanishwa na nguo.japo si mbaya hata na wewe siku yako ya kuzaliwa ukajaribu kujikumbusha ulitokaje tumboni kama una aibu jaribu hata chumban kuna ka ladha flani ka tofauti!Safi ni jambo zuri sana kafanya yule mwenzake alifanyia nyumbani akiwa uchi
ha haaaa kusema ukweli imekuwa kupanic! grammy!!!!!! aaaaaaarghryMbona kama umepanick bro
Hahaha haiyaa buanaha haaaa kusema ukweli imekuwa kupanic! grammy!!!!!! aaaaaaarghry
Hapo alikuwa anaogopa kulowanishwa na nguo.japo si mbaya hata na wewe siku yako ya kuzaliwa ukajaribu kujikumbusha ulitokaje tumboni kama una aibu jaribu hata chumban kuna ka ladha flani ka tofauti!
Alaf me nashangaa sana hii style ya kumwagiana maji kwenye birthday party imetokaga wapi! Mpak inakuw kero
ndio Miaka 40? au yale yalikuwa ni matani tu!
Kuna thread humu walimchomekea kuwa atatimiza 40 soon so mambo ya kumgombanisha na Diamond tu..Mmh sidhan kama ni 40 nahs ka atakuwa kwenye 30's
Hahaha dahGrammy za Magubike..?
Hahaha watamzimia Mike nnUmekosea sana kuwaambia mkuu hawachelewi kwenda kukata network maana wapo wasiopendezwa na maendeleo ya Kiba humu... Anyway, tumuombee tu amalize salama na yeye pia asisahau kumtanguliza mungu katika hili ili liishe salama