Oh, I'm glad you're back here again!
Ni hivi, Kila nilichokiandika, nilijiweka kati, sikuwa biased, nimeandika kwa kadri mambo yalivyo.. Hebu chukua muda kidogo usome ukiwa ''neutral-minded'', utaelewa tu!
Na kuhusu kufanya research...cumoooon....Are u serious? Yaani vitu vingine ni ukifanya Observation tu vinajieleza, sasa hiyo research ya kwenda mikoani is a waste...
Nakushauri, SOMA UPYA, Ikiwezekana Neno kwa Neno, and dont just read between the lines.......
Ha ha ha Mesi chupii tu hana loloteUmejuaje??? Messie babalao kama kiba
Waumini wa mzee wa upako banaYan mesi anapenda kutafuta kiki kutoka kwa cristiano ronaldo kama vile ali kiba anavyotafuta kiki kutoka kwa diamond
Kitendo cha mesi kutoa dau kubwa la mchango kuliko Christiano Ronaldo linadhihirisha hili
Tukio hili nalifananisha na tukio la kibakuli kutoa milioni 21 ili amfunikr dai alipotoa mil 20
Kwn Arda turan yy ni mungu au jini au malaika kuwa akisema kitu lazima kiaminiweMchezaj Arda Turan amewahi kusema RONALDO NI MCHEZAJ BORA KABISA DUNIAN lakini HUYU MESSI YEYE NI WA SAYARI NYINGINE KWA HYO HASTAHIL KULINGANISHWA NA YEYOTE
Hajielewi huyo mkuuKwn Arda turan yy ni mungu au jini au malaika kuwa akisema kitu lazima kiaminiwe
Wamefanyaje?Waumini wa mzee wa upako bana
sayari ipi sasa kama wote tupo kwenye sayari hii.(sun)Mchezaj Arda Turan amewahi kusema RONALDO NI MCHEZAJ BORA KABISA DUNIAN lakini HUYU MESSI YEYE NI WA SAYARI NYINGINE KWA HYO HASTAHIL KULINGANISHWA NA YEYOTE
kwani yeye mungu? low thinking capacity ,that's why African do not get devt.bse we think they have special place when they die while not.Acha ujinga wewe usimlinganishe Messi na vitu vya kijinga
sayari ipi sasa kama wote tupo kwenye sayari hii.(sun)
basi yeye sio bora
HAYA MAONI YA VIJANA WA VILAINI A.K.A CHPSI YAI NA KUKU WA WIKI MAANA HUWA AKILI ZIMFUBAA PIA, KWANI HATA ULICHOANDIKA KWA NDOTO HAIWEZEKANI LICHA YA UHALISIA.Yan mesi anapenda kutafuta kiki kutoka kwa cristiano ronaldo kama vile ali kiba anavyotafuta kiki kutoka kwa diamond
Kitendo cha mesi kutoa dau kubwa la mchango kuliko Christiano Ronaldo linadhihirisha hili
Tukio hili nalifananisha na tukio la kibakuli kutoa milioni 21 ili amfunikr dai alipotoa mil 20
..sayari ipi sasa kama wote tupo kwenye sayari hii.(sun)
basi yeye sio bora
Sun ni sayari????
Co kosa lake HAKUBAHATIKA KWENDA SHULESun ni sayari????