Ally Hapi DC Kinondoni anafaa kumrithi Kinana

Kwa jinsi mwenyekiti anavyopenda wasomi nahisi huyo mrithi atakuwa msomi wa ngazi ya PhD.
Sitashangaa kusikia mtu anatolewa chuo kikuu alipokuwa anafundisha na kupewa hicho cheo,
Na jinsi tulivyo na wasomi njaa lazima atakubali tu

Ila ingekuwa mapendekezo yangu ningempendekeza Mhe Mwigulu kuchukua hiyo nafasi.
 

Aya, sasa dau anakupa mda huu au mpaka apewe cheo? mmekubalianaje naye?
 
Kwakuwa vijana ndio wenye njaa kali na wasio na msimamo katika kile wanachoamini basi atamfaa bwana yule.
 
ni kweli, chama kilipofikia kinamwitaji mtu kama Makonda akinyooshe.
 
Hii
Anafaa zaidi Prof.Kitila Mkumbo,- young, visionary, talented, matured, experienced with multiparty politics, and above all he is neutral person
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…