bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 467
wana sema kunako watu hakukosi jambo... Nami naamini swala langu kuna mtu huenda akawa na jawabu lake.
Toka nime zaliwa sijawai kula kabisa vyakula vya ngano... Japo nili wai kuonja mkate nikiwa mdogo mwaka 1999 name nibaada yaku lazimishwa sana na mzee wangu na fimbo juu... Ila mwisho wa siku niliishia kuugua sana sana... Hapo ndio ikabidi wazee wakubaliane na hali yangu yakua na "aleji na vyakula vyote vyenye ngano au chembe za ngano'"
Hili tatizo kuna dawa yake kweli???natamani sana vyakula hivi ila siwezi kabisa hata kulamba kwa ncha ya ulimi vyakula hivyo kwa sababu ya ALEJI hii.