Allerg ya vumbi na harufu

Hata mm niliwah kuwa na tatzo kama lako ilikua nikirud home likizo chumban kwangu napga chafya had nakoma mimi nilitumia dawa flan za hospital zinaitwa nasal spray ilinisaidia kwa kwel saiv Hali hiyo nashukuru Mungu imepotea na pia jarbu kufanya mazoezi
 
nasal spray shs ngap???? Na zinapatikana pharmacy za mjini tuuu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…