sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,062
Kila ninapotazama tv na kuona wapiganaji wa kislam ktk nchi mbali mbali Kama Syria,Pakistan,Afghanistan na kwingine wakitumia jina la mungu wakati wanapotumia bunduki na rpg kutoa roho za watu, kwann wanasema Allah Akbar? Kwan mungu wao ni wakutoa roho za watu?