All the best Taifa Stars

Englishlady

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
2,734
Reaction score
3,655
Kwa miaka 39 hatukuwahi kuingia kwenye mashindano ya Afcon...now tumepata nafasi...naona watanzania wanaiombea vibaya timu yetu...kweli sisi watanzania Ni pasua kichwa...Mungu atusamehe tu....nahisi tuna ka asilimia ka ukichaa... anyway mada yangu Leo Ni kuitakia timu kila lililo jema iweze kuipiga Kenya.

Bado naamini tuna nafasi ya kusogea mbele...Kila la heri Taifa Stars!!!

Mungu ibariki Taifa Stars, Mungu ibariki Tanzania!!!!!!
 

Taifa Stars ikishinda leo naogelea kutoka Dar es Salaam hadi Kisiwani Zanzibar.
 
Reactions: BAK
Sisi tumepeleka wanasiasa wakaipe timu yetu technics za soka,wakenya wamepeleka wanasoka wao mahiri wa zamani akina mCdonald mariga,sijui Leo bashite atacheza namba ngapi?
 
Sisi tumepeleka wanasiasa wakaipe timu yetu technics za soka,wakenya wamepeleka wanasoka wao mahiri wa zamani akina mCdonald mariga,sijui Leo bashite atacheza namba ngapi?

Ushindi pia unahitaji hamasa

Mmesahau mpaka kufanikiwa kuingia kwenye michuano hii ilikuwa Ni hamasa Wala sio technics. Tena Ni huyohuyo mwanasiasa alikuwa mwanahamasa namba moja.
 
Nimegundua watanzania tuna usakatriki kidogo
Nikiwa kama msukuma originally nasema gooo goooo harambee, gooo gooo, ata ikatokea chama chenu kikawafunga basi Algeria wanakuja kumaliza kazi, tusilazimishane uzalendo unatoka moyoni
 
Sisi tumepeleka wanasiasa wakaipe timu yetu technics za soka,wakenya wamepeleka wanasoka wao mahiri wa zamani akina mCdonald mariga,sijui Leo bashite atacheza namba ngapi?
Eti wanataka tushinde ili ionekane bashite kashiriki kwenye ushindi wa Leo. Mind you bashite hajawahi kushinda kitu chochote kinachoonekana. Alichoshinda ni kukishika kichwa kwa mambo ya Giza.
 
Ushindi pia unahitaji hamasa

Mmesahau mpaka kufanikiwa kuingia kwenye michuano hii ilikuwa Ni hamasa Wala sio technics. Tena Ni huyohuyo mwanasiasa alikuwa mwanahamasa namba moja.
Nimekuelewa mwanamke mwingereza!
 
Kuna member alishawahi kuandika thread humu janvini kwamba asilimia kubwa ya members humu JF wana IQ ndogo ....I think the man was right.....kuna facts/ushahidi nauona hapa.....
 
I wish I could be..... Coach akifanye ninacho kiwaza tutashinda
If you decide, you still can!

Unawaza nini?? Share nasi hapa maana wengine wanazo direct contacts na baadhi ya wachezaji, you never know unachokiwaza kinaeza kikafikishwa na ukawa umelisaidia taifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…