Ahsante mwalimu. Sipendi kukosana na mwalimu kabisa. Mama alinambiaga kuliko ukosane na mwalimu wako ni heri uwe na bahati mbaya kama kiatu cha Mugabe. Eti ni heri uote jipu makalioni afu ukapanda DCM lenye siti za kutosha afu konda anakulazimisha ukae ili abiria nje wasidhani limejaa..... Khaaa!