All about love

All about love

Pole sana madam.
mimi ushauri wangu mtafute daktari anaweza akakusaidia kwa usahihi
 
Hi guys.. Sorry naomba ushauri..ninamiaka 21 but nikikutana kimwili na mpenz wang after sex napata maumivu sometimes yanachukua hata siku tano
Dawa yako ninayo njoo pm
 
After sex
Hiyo ni dyspareunia-yaani mtu unapata maumivu kabla/baada au hata wakati mnasex.
Reason zipo nyingi pengine jamaa ana tango kubwaa, au hakuandai vzr(leads to lack of lubrications),Pingine pia psychologically hauko vizuri.

Cha msingi muone daktari(ikiwezekana wa magojwa ya wanawak) atakutibu kulingana na cause.
Usihofu utapona ni tatizo la kawaida.
 
Namshukuru Kwa ushaur wako
 
Pako Poa Sana indeed.. Nimepapnd Sana.. VP kunao uwezekano WA kufuta post?
 
Back
Top Bottom