All about ALPHA BLONDY

Ca me fait si mal na Science Conscience...mbona hujazitaja hizi mkuu mi ndio nazipenda sanaaaa. Flash yangu kwenye gari nimezirudia zaidi ya mara kumi.

Mi pia nazikubali sana nyimbo za huyu Legendary. Hizo ulizotaja na zingine zote kwenye album ya MASADA, mie nazisikiliza daily...
 
Reactions: ARV
Huyu Jamaa reggae sijui kwann siikubali wakat mmi n mpenz wa reggae since 1980


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…