Aljazeera

Sema wako na mlengo hatari na habari zao nyingi zinaegemea upande wa Palestine ila ni best chanel japo binafsi napenda sana BBC na CNN
 
Personally,aljazeera ni channel bora kabisa duniani.

Hii coverage wanayoionesha huko Gaza ni exstra-ordinally

Kongole kwao
wanapendelea hamas tu wale wanajulikana hupendelea waarabu. Ni channel ya hovyo sana idhaa zao zote za kiaarabu na kiingereza
 
Aljazeera ni Qatar
Qatar ni Hamas
 
Ukitaka kujua upumbavu wa Aljazeera angalia vichwa vya habari zao kuhusu gaza na Vichwa vya habari vya vituo vingine kama bbc kuhusu gaza.

Haihitaji akili nyingi.

Ndomana serikali ya Israel imeipiga marufuku kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…