Aliyoyasema Mchungaji Lyimo mbele ya Rais

Ukweli ni upi kwa mtazamo wako?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kama hujui ukweli wa kinachoendelea nchini sina njia ya kukuelezea,laumu tumbo lako kuendekeza njaa na kufunga ubongo.
 
Wewe ulikuwa mchungaji kutoka mkoa gani?
 


Je Bashiru na Polepole wametulia!!
 
Kuanzia J2 ijayo nyie wachungaji mtakula jeuri yenu ya kujifanya UVCCM, mtapokea sadaka ya sh 100 kwasababu mmetutia aibu sisi wafuasi wenu. mmeshindwa kutusemea na mkajifanya chakubanga
 
Duuuhh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…