Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,641
Wewe utakuwa demu wa diamondKwa hiyo unachagua vile -ve tu ndio unaandika?
Huoni msikiti aliojenga Kigoma, Kulipia kodi watu 500, kuwekea vijana wa bodaboda takribani 1000 full tank kila mmoja, kuajiri vijana wenzake, kufunguza watu kipindi cha ramadhani, kuwapa vijana mitaji n.k
Ulichochagua wewe kuona ni -ve tu, swala la kubadilisha wanawake hakuna Mwanaume awaye yeyote asiyebadilisha wanawake, ni vile tu sisi wengine hatuonwi kwa kuwa sio mastar, huku Uyole Mbeya viwembe tupo wa kutosha tu.
Msipangie watu matumizi ya pesa zao, walitafutia juani waacheni watumie vile wanapenda, ukipata wewe pesa nenda kafanye kama Sadio Mane.
Kuhusu tafrija za ufuska nadhani bado hujaona, nenda Tabata ukaone orgy zinapigwa live ndo utajua Diamond cha mtoto tu.
Jamaa atakuwa anaishi Uyole lkn sio mnyakyusa,wanyakyusa sio makenge kama hili bwabwaKwahiyo we jamaa wa Uyole umezama kwa Diamond Mwaplatnumz?
Mane kajenga misikiti ya kutoshaSamata amejenga msikiti nyumba yaAllah s.w
Acha roho mbaya kijana, vijana aliowaajiri kwenye miradi yake hujaona au wewe unahesabu mabaya tu.Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.
Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Acha roho mbaya kijana, vijana aliowaajiri kwenye miradi yake hujaona au wewe unahesabu mabaya tu.
Mchizi kawekeza kwa kiasi chake, ni mlipa kodi, kaajiri watu na anaitangaza nchi.
Hata ungekua wewe kina tanasha usingeacha wapite hivi hivi[emoji3][emoji3]
Tofautisha kati ya mtu mwenye 'real money' na mtu wa kuunga unga na msaka sifa hela ipi huyu domo anayo!Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.
Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo kupendana shida ni kwamba mtu wa Afrika Magharibi akitajwa kua ni tajiri anakua ni tajiri kweli wakati hapa bongo mtu anakua tajiri akiwa na nyumba na IST
Muongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu jamaa anatumia simu ya kitochi a.k.a kiswaswadu
Weka pichaMbona hata mimi naweza kujenga shule na hospital !.
Hasa wabunge wangedhani anataka kutangaza niaAngekuwa bongo , pamoja na yote hayo Bado watu wangemchukia na wangemvizia kumroga au kumuua kabisa ..!
Tokea ukue mpaka hapo ulipo ulisharogwa? Kwanini uitazame bongo kama nchi ya wachawi na watu kwenye roho mbaya? Ondoka hatuwezi kukaa na wanafikiAngekuwa bongo , pamoja na yote hayo Bado watu wangemchukia na wangemvizia kumroga au kumuua kabisa ..!
Hahahaha Daaaaah [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.
Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Hakyanani hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Siyo kupendana shida ni kwamba mtu wa Afrika Magharibi akitajwa kua ni tajiri anakua ni tajiri kweli wakati hapa bongo mtu anakua tajiri akiwa na nyumba na IST
Allh kumbe naye anajengewa nyumbaSamata amejenga msikiti nyumba yaAllah s.w