Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
sozhilangana ku facebook-wazulu tumo humu wenyewe....we need to socialise mwi facebook...dj cleo
Hiyo ya kujitokeza humu na kusema alichokifanya aliiweza Regia peke yake manake hata Makamanda wengine wa CDM ambao huwa wanjitokeza humu katika hilo la utekelezaji wa ahadi wamenyamaa kimyaaaa! Kutekeleza ahadi kumbe kazi!
Nimepitia website ya january makamba sijaona orodha ya mambo aliyoyafanya Bumbuli katika kutekeleza ahadi alizozitoa
website ya Bumbuli hii hapa
Bumbuli Development Corporation... Coming Soon!
ukiingia unaambiwa utatumiwa e-mail ya maendeleo lakini so far ni mwaka mzima hakuna kitu chochote
Sasa kwa mbunge ambaye anapatikana kwenye mitandao hatupatii ripoti ya maendeleo kama alivyofanya Marehem Regia Mtema au Mbunge wa Singida ndugu Mo Dewji
January tunaomba uje utuambie umeshafanya nini Bumbuli toka uchaguliwe?

...we need to socialise mwi facebook...dj cleo
mkuu hayo huwa yanaendana na hulka ya mtu..
January Makamba ndo nani?