Aliyosema Kitila Mkumbo katika mahojiano TV-E

Aliyosema Kitila Mkumbo katika mahojiano TV-E

Kiuno kitakua na anakiuno weusi fulani Kama mnyachusa sura nyembamba kingine itakua hofu yakugawana Mali
Mali za kutumia akiwa na stress zina raha gani, bora kuishi mwituni kwa amani kuliko kuishi nyumba nzuri na stress tena za mwanamke
 
Mbunge wa Ubunge, Prof. Kitila Mkumbo amesema ni jambo la kawaida kwa kila awamu kutatua changamoto anazozikuta lakini huwa wanazitengeneza nyingine

Kwa awamu ya Rais Samia Suluhu, amesema ametatua changamoto ya kidiplomasia na uwekezaji. Pia hata kwenye masuala ya kisiasa kama ilivyoonekana hivi karibuni.
===
Mbunge wa Ubongo, Prof. Kitila Mkumbo ambaye ni mtaalamu na mdau wa elimu amesema elimu ya sasa inatengeneza wahitimu ambao hawawezi kutengeneza ajira na pia hawaajiriki

Aidha, elimu haitengenezi wahitimu wenye stadi za ufundi. Ametolea mfano wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam ilibidi watafutwe mafundi kutoka India.

Amesema ni muhimu kwa mwanafunzi kuwa na taaluma, maarifa ya msingi na stadi za kumfanya aishi ambazo ni stadi za Maisha kama ujasiriamali, ujuzi wa upishi nk. Ili muhitimu akikosa nafasi huko juu aweze kuishi
Anatafuta uteuzi mwenzake ashaenda Malawi angalau azibe mdomo wake
 
MFUMO WA ELIMU WA SASA...UNATENGENEZA WANASIASA ZAIDI...NDIO MAANA KILA MTANZANIA ANAYEHITIMU ANAKUWA MWANASIASA TU...SIO KUJIPAMBANIA MAISHA YAKE...
 
Namuunga mkono hajakosoa bali anazungumzia hali ya elimu ya sasa inabidi wasomi waandaliwe kujiajiri, kuajiri na wawe na stadi za maisha na elimu ya ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom