Aliyosema Kakobe yanatimia

 
duchi toa matokeo halisi ya uchaguzi wa urasi ya mwaka 2010
unajua mambo mengine ccm fanyeni kama ni watu wazima na mnaotumia akili wapendwa
 
Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?

Watu wenye uelewa mdogo kama wewe na wenye kumbukumbu ndogo kama ya kuku hudhani watu wote wako kama wao,thibitisha alisemea hayo wapi?kama huna uthibitisho usiwe unapenda kuongea mambo ya kimbea na kishangingi na kishoga.***** zako.
 
Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?

Wangekamateje hali mtu mmoja ndie anaeamua kumtangaza mshindi anaempenda yeye ba si maamuzi ya wananchi
 
Usijali Mizambwa, katiba mpya ikipatikana CCM na NEC hawatakuwa na nafasi tena ya kufanya ujanja ujanja. CCM itazikwa rasmi 2015
 


Hapa ndipo tunapotofautina na wewe, huwezi kushinda uraisi halafu ukapata viti vya ubunge vichache kiasi hicho. Huko Zanzibar wanakadai Nec kuchakachua tunaona walau uwiyano wa viti vya ubunge ulivyo mdogo sana. Kuna baadhi ya majimbo CCM wabunge walipita bila kupingwa, kama tofauti ya wabunge ingekua kama ishilini hapo ningeweza kuamini kua Nec walichakachua siyo huu uwiano.
 


Hivi unaelewa kuwa mwaka 2010, katika majimbo y DSM ambako CHADEMA walishinda ni nguvu za wananchi zilitumika, lakini CCM walikuwa na kila mbinu ya kutaka kubadilisha matokeo.

Mfano UBUNGO walisingizia kuwa Computer imeharibika, jambo ambalo lilifanya CDM waingilie kati, na wananchi walikesha kituo cha kuhesabia kura hadi matokeo yalipotangazwa pale shule ya Loyola!!!!!

Jimbo la KAWE vilevile nguvu ya wananchi ilitumika kuhakikisha hawachakachui wananchi walikesha pale Oysterbay hadi matokeo yalipotangazwa, kwani CCM walikuwa na njama za kumtangaza Angela Kiziga awe Mbunge wa KAWE.

TAFAKARIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Baada ya kushinda alikuwa rais wa nchi gani?

Tanganyika ambayo ccm inadai hakuna nchi hiyo kuna serekali ya Muungano funguka kijana acha kutetea ushetani unajua gharama itakayolipa kwa kubadilisha kanuni? Think before defending non sense
 
Usijali Mizambwa, katiba mpya ikipatikana CCM na NEC hawatakuwa na nafasi tena ya kufanya ujanja ujanja. CCM itazikwa rasmi 2015
2015 ccm kwa heri penda msipende mmechokwa na wananchi hata barabara mnazotengeneza ni ili muweze kupitisha gar zenu bila shida saa ya hukumu yenu imefika najua muda si mrefu wengine mtavaa magwanda kiunafiki kwa aibu zenu. RIP ccm rise up Chadema
 
Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?

Tatizo ccm wakishinda kwa kura za kuchakachua wanajiona wameshinda kweli, nyie hamnjui kama ingekuwa haki ccm hawangekuwa madarakani mpaka sasa, mikutano yao yenyewe mpaka wakodi magari ya kureta watu kutoka mbali lakini still wanajitia moyo kuwa mikutano yao inajaa watu wakidhani bado wanakubalika
 
Mngejadili issue ya kubadilishwa kwa kanuni ingekuwa vyema.

Dont major on minor....
 
Ccm ndio vinara wa kuiba kura na kwa taarifa yako hakuna mwaka Ccm wameshinda uchaguz Zanzibar ila anatangazwa mshind na tume ya uchaguz . Ww jiulize kwann kura za Rais zihesabiwe na tume wakat vituo kata, wilaya zina record zake ? Hapo ndio ujue chadema walishinda kabla ya uchaguz kufanyika ila mungu yupo hafi wala hana mzaha ipo siku
 
Hii ndo bongo wachache waendelee kinufaika tulio wengi tusubiri kudra za mwenyezi mungu soini cha mcngi kinacho endelea dom ni maudhi kwa wananchi tusubiri INSHAALAH
 
Tatizo ccm wakishinda kwa kura za kuchakachua wanajiona wameshinda kweli

Wakurya wana usemi usemao USHINDI NI USHINDI MURA uwe wa kupiga mtu jiwe,rungu,au tofali.

Mura anapogigana anatumia silaha yoyote kuleta ushindi na unakuwa ushindi kweli si ushindi bandia.

Mura nafikiri umenierewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…