Aliyewalaani kafa

Duuu! Bi Kidude au Makinda?

Hawa ni wale wasindikizaji wasiojua mbele wala nyuma sahani ya ubwabwa kofia na khanga za kijani tuu unawafanya utakavyo (sina maana hiyo)
 
Mabinti zetu jamani wakikutana na hawa watu nani atawalinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…