Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Jul 30, 2021 #41 Extrovert said: Walintolea mbavuni knmmk Zao Click to expand... Hivi hawa hua Wana matatizo gani? wife alifanya aka pass mpk Leo wamemchunia. mdogo wangu alifeli. Hapo Sawa. ila mbn alie pass inakua ndio baaasi. What's wrong with these people?
Extrovert said: Walintolea mbavuni knmmk Zao Click to expand... Hivi hawa hua Wana matatizo gani? wife alifanya aka pass mpk Leo wamemchunia. mdogo wangu alifeli. Hapo Sawa. ila mbn alie pass inakua ndio baaasi. What's wrong with these people?
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,425 Reaction score 191,636 Jul 31, 2021 Thread starter #42 Tripo9 said: Hivi hawa hua Wana matatizo gani? wife alifanya aka pass mpk Leo wamemchunia. mdogo wangu alifeli. Hapo Sawa. ila mbn alie pass inakua ndio baaasi. What's wrong with these people? Click to expand... Sielewagi sijui wanatakaga kutuinjoy
Tripo9 said: Hivi hawa hua Wana matatizo gani? wife alifanya aka pass mpk Leo wamemchunia. mdogo wangu alifeli. Hapo Sawa. ila mbn alie pass inakua ndio baaasi. What's wrong with these people? Click to expand... Sielewagi sijui wanatakaga kutuinjoy
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,425 Reaction score 191,636 Jul 31, 2021 Thread starter #43 Skyblue said: Mimi nakushauri kama kutakuwa nahesabu ingia Google search " Indiabix" hawa wana applitude test za kumwaga za kila aina soma hapo ....wengi hata bank zetu Wanadesa huku nakujifanya wajanja. Click to expand... Nilifanikiwa kuichapa fresh ila jamaa wamenipotezea from there
Skyblue said: Mimi nakushauri kama kutakuwa nahesabu ingia Google search " Indiabix" hawa wana applitude test za kumwaga za kila aina soma hapo ....wengi hata bank zetu Wanadesa huku nakujifanya wajanja. Click to expand... Nilifanikiwa kuichapa fresh ila jamaa wamenipotezea from there
Carnivora JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,650 Reaction score 6,028 Oct 20, 2021 #44 Extrovert said: Ndio nasubiria kama watanijibia briefing yangu nimeshaituma Click to expand... Hiyo briefing wanataka nini haswa kutoka kwa muomba kazi?
Extrovert said: Ndio nasubiria kama watanijibia briefing yangu nimeshaituma Click to expand... Hiyo briefing wanataka nini haswa kutoka kwa muomba kazi?