Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

tafsiri/maana ?
"Makafiri" ni neno la Kiswahili linalomaanisha "wasiamini" au "kafiri," ambalo linaweza kutumika kumaanisha mtu ambaye hana imani au anayekataa dini fulani, hasa katika muktadha wa Uislamu.

Katika Kiarabu, neno hili linaweza kutafsiriwa kama "كافر" (kāfir), linalomaanisha mtu asiyekubali au asiyeamini katika Mungu au mafundisho ya dini fulani.
 
Ni Heri nikimbie nyumba yangu,kinaanze upya kuliko kuua.

Sababu mwanamke anachotaka ni kukuumiza kihisia,sasa ukiwa haupo unaumiaje?

Kaa mbali tu,anza upya Utakua na amani.
Ona mtoto nasikia alianza kukaa Sawa darasani na kiakili wanamtonesha tena.

Mapenzi yakiisha zibaki akili jamani.
Mkuu uko sawa kabisa, sio mke tu mm hata demu nikimtongoza akinikataa nam block sitaki hata kumsikia..
 
"Makafiri" ni neno la Kiswahili linalomaanisha "wasiamini" au "kafiri," ambalo linaweza kutumika kumaanisha mtu ambaye hana imani au anayekataa dini fulani, hasa katika muktadha wa Uislamu.

Katika Kiarabu, neno hili linaweza kutafsiriwa kama "كافر" (kāfir), linalomaanisha mtu asiyekubali au asiyeamini katika Mungu au mafundisho ya dini fulani.

ok kwa hiyo alimaanisha wapagani ?
 
Mimi sifikirii upuuzi wa huyo Jamaa maana anavuna alichopanda huku akimgharimu mtoto.

Nafikiria baada ya kujua kama jamaa kamuua na kumchoma basi walipaswa wafuate taratibu za mazishi.

Tena bila mtoto kujua.
Ushahidi ulikuwa ukihitajika, jamaa alikuwa anakana shitaka na kudai mkewe ni suala la muda atapatikana alipojificha.
Alitaka kuwaaminisha kuwa ni 'kifo cha mchongo' kwamba mkewe yuko hai.
 
"Makafiri" ni neno la Kiswahili linalomaanisha "wasiamini" au "kafiri," ambalo linaweza kutumika kumaanisha mtu ambaye hana imani au anayekataa dini fulani, hasa katika muktadha wa Uislamu.

Katika Kiarabu, neno hili linaweza kutafsiriwa kama "كافر" (kāfir), linalomaanisha mtu asiyekubali au asiyeamini katika Mungu au mafundisho ya dini fulani.
Screenshot_20250315-173944.jpg
Screenshot_20250315-174020.jpg
Screenshot_20250315-174106.jpg
Screenshot_20250315-174159.jpg

Calling someone kafir is insulting that particular person, it is literally saying the person is thankless or ungrateful to Allah. That crazy Allah can't do shit, it's some lunatics who are busy insulting people on his behalf.
 
Back
Top Bottom