Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Pamoja na waliotumwa kuwa wanafahamika, sasa ni wakati wa kumjua mtumaji Ili kumaliza tatizo.
Inawezakuwa nae ALITUMWA😃Ni mtumaji
infinity questionInawezakuwa nae ALITUMWA😃
Labda utekaji utaishaWasiojulikana wajulikana so what next
Jidanganye ndugu yangu, huo ni mfumo na mfumo ni wa kimtandao na hautakomaLabda utekaji utaisha
Asante kwa jibu lenye busaraTuupe muda nafasi
Hakuna Hali inayodumu ktk maishaa..
Pamoja na waliotumwa kuwa wanafahamika, sasa ni wakati wa kumjua mtumaji Ili kumaliza tatizo.