Asee..dahDah . . .kaumri kamenifukuzia riziki.
Haya kila la kheri.
Hehehe
Umeona ee
Kaniskitisha anataka weupe tuu wakati kuna wengine wana sifa zote ila ni weusi.
Umeamua kuachia ngazi?
Haya mwayaNakaribia uzeeni mie!
lol.......afu weusi ndo wengi, tumekosa riziki.