Mimi hata Aje Malaika Akiniambia Mwisho wa Dunia Kesho Nakataa
Dunia haina mwiaho...?!?...napenda kuku uliza je, dunia haina mwanzo?mwisho wa dunia ni siku yako ya kufa. dunia aina mwisho
Hahahajajahaj..., usionyeshe ujinga Mbele ya watu wengi hivi.., eti dunia haina mwisho..?!mwisho wa dunia ni siku yako ya kufa. dunia aina mwisho
Hahahajajahaj..., usionyeshe ujinga Mbele ya watu wengi hivi.., eti dunia haina mwisho..?!
Hahahajajahaj..., usionyeshe ujinga Mbele ya watu wengi hivi.., eti dunia haina mwisho..?!
Harold Camping ( July 19 1921- Dec 15 2013) alifanya hivyo pia, Huyu katika maisha yake alitabiri mara nne.
Na akija "israeli je"?bado utakataa?*%#*
Hakuna ajuaye mwisho wa dunia ni lini zaidi ya aloumba dunia hii.
Kiongozi mmoja wa dini ambaye alipata umaarufu nchini Kenya kwa kutabiri mwisho wa dunia mwaka 2006 amezikwa katika kijiji cha Bomet.
Kiongozi huyo wa madhehebu ya House of Yahweh Willy Kiplangat Sang alizikwa masaa machache baada ya kifo chake katika shamba la babaake kijijini Matarmat katika sherehe iliohudhuriwa na jamii yake, majirani na wafuasi wa kanisa hilo.
Ndugu za nabii huyo aliyezingirwa na utata wanasema aliugua ugonjwa wa kifua kikuu nyumbani mwake huko Mauche kaunti ya Nakuru ambapo alikuwa mkulima na muhubiri.