Aliyesoma bachelor ya computer science anahitajika

Bwasheemweusi

Member
Joined
May 6, 2017
Posts
39
Reaction score
17
Nafasi ya kazi inatangazwa kwa mtu mwenye taaluma ya computer kiwango cha bachelor degree mwenye uwezo wa ku maintain e-comerce site kwa ajili ya kampuni yetu inayokusudia kuuza vitu mtandaoni akiwa na bachelor degree ya computer science kutoka vyuo vya UD, St joseph ,IFM itapendeza zaidi tuma CV ,cover leter ,cheti na trancript katika email hii altpmy@gmail.com ...watakao kidhi vigezo wataitwa kwa ajili ya interview na kazi ni Arusha na DSM nafasi zipo 2 asante
 
Du

Duuh! Mimi nina advanced tuu ya computer na nimesoma moja kati ya vyuo hivyo. Dahh! Imenipita hiyoo!!
 
Asante kwa ushauri, nitafanya hivyo.
Pamoja kaka. Mi niliombaga kazi ambayo sikuwa na vigezo ila nikasema Mungu ndo anajua kama hasara ya posta na copy ya vyeti sio mbaya. Lakini nilipata maana wenye level aliotaka walikuwa na vyeti ila kichwani hamna kitu. Nikalamba ajira
 
Sawa.
 
Back
Top Bottom