GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Wakati Kamishina Siang'a akiwa anazungumza kuna Mtu mmoja alikuwa kasimama nyuma yake je naomba kuwaulizeni yule ni Bodyguard au ni Msaidizi wake tu? Kama ni Bodyguard wake nina ' Mashaka ' ila kama ni Msaidizi wake tu ' Alhamdullilah '.
Nitashukuru nikijibiwa kiufafanuzi kabisa hasa nikiamini kuwa humu JF kuna ' Wabobezi ' kabisa wa hii field ' Nyeti '. Akhsanteni.
Nitashukuru nikijibiwa kiufafanuzi kabisa hasa nikiamini kuwa humu JF kuna ' Wabobezi ' kabisa wa hii field ' Nyeti '. Akhsanteni.