Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Siku yangu inaisha vibaya leo.
Ni maajabu makubwa sana maji ya mto kunyonywa na libomba likubwa pale Marangu - Moshi na kupelekwa mpaka Kenya kimya kimya. Bomba lenyewe litakuwa na upana wa inch 12 au zaidi.
Wakati maeneo mengi nchini yakikabiliwa na uhaba wa maji nchini, watu wanatuhusu maji yatoke Tanzania mpaka Kenya kwa discharge (ujazo) kubwa sana. Hakuna hata flow meter ya kuyapima hayo maji.
Utaratibu gani umetumika kuruhusu maji ya mto kupelekwa Kenya ile hali maeneo ya jirani kama Mwanga, Himo, Same kuna ukame uliotukuka? Nani ameratibu hii issue?
Maji hayo yametegwa pembezoni mwa mto kule Marangu karibu na KINAPA.Bomba imetegwa chini kabisa ya mto.
Usiku mwema