Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

Umpelekee ugali usiishie kumuita shujaa mitandaoni,

Stresses za ndoa zinawapeleka puta sana hadi mnajitoa thamani zenu.
Wewe lesbian hii mada aikuhusu ungekuwa unadinywa ungekipeleka kwa mme wa mtu halafu ndio utajua mtema kuni kilimpata nini

Sijaoa bado na nikioa atayekula mke wangu kifo na kifiro ni adhabu pekee anazostahili
 
Mada inanihusu sababu aliyedhalilishwa ni binaadam kama mimi,
Sasa mkikaa kwenye vikao vyenu muambizane kua mkifumania mdeal na waume zenu lakini mkidhalilisha michepuko ya waume zenu mwisho wenu ni jela huku mnaziacha familia zenu katika hali mbaya,

Rejea kwa Agnes.
 
Kesi ya kijinga kabisa, mkuu wa mkoa na hadhi yake tena akiwa na yeye ni mwanamke ameuvaa kabisa mkenge na kutamka kuwa walikuwa wanafanya biashara. biashara gani inafanyika chumbani kwa wanandoa wengine?

Hii imekaa vibaya na ni aibu mno kwa upande walioamua kuuchagua. Bora wangeyaacha yaishe kimya kimya.

Kwangu mimi ingekuwa ni vyema hao wanawake RC na huyo Kiria wangejaribu kwanza kuvaa viatu vya huyo mwalimu kabla ya kuamua kuchagua huo upande wa huyo muuza bar.
Atleast wangebalance pande zote mbili na kumuona Mwalimu Agnes kama binadamu mwingine yeyote hilo lingeweza kumfanya akafanya maamuzi yeyote ya hasira hata kupelekea kuua.

Mimi ningemshauri Mwalimu Agnes kama wameamua kumwaga mboga na yeye amwage ugali. Kama kweli alimkuta huyo mwanamke ndani kwake anaweza pia ku claim wizi umetokea ndani kwake. Vip naye akisema aliacha milioni 30 chumbani kwake alikomkuta huyo mwanamke na sasa hazipo?
Keshachelewa, anatafutwa na police popote alipokimbilia kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule sister aliekua natoa kipondo ana roho ngumu sana.. mimi na ugumu wangu huu siwezi kumpiga mtu aliekaa chini. Yaani nikikupiga ngumi ukianguka kama huna nia ya kusimama nakuacha hapo hapo siwezi kukuongeza nyingine. . Nitakuongeza kama una mpango wa kuendelea kupambana..

Sasa yule maza alikua yuko chini helpless lakini bado anapigwa. Aiseeh ule ni ukatili.

Na yule mpigaji kinachoenda kumkuta ni kibaya sana. Maana naona ameanza kupewa kesi za kumvamia mtu dukani kwake na kumpiga kisha kuchukua laki 9. Tayari anapewa kesi ya ujambazi.
 
pumbafu zake, huyo aalitakiwa auwawe kabisaa, na hilo ndiyo kosa tunalofanya watu wengi unakamata mtuhumiwa alafu unampiga makofi au panga mbili tatu alafu unamwacha, akipata wachumia tumbo kama kiria lazima akusumbue mahakamani….uwaa kabisaa na na uchome motto
 
Ni unafiki tu mzee hilo lipo wazi adhabu ya mgoni ni kifiro,kifo au kipigo kikali sasa sijui wanaishi Tanzania ipi ambayo wengine hatuijui
Ona sasa kaliacha hai limeanza kumbambika makesi ya kipuuzi.

Alafu hii kitu iko mitaani sana, umefanya kosa unakutana na wajuaji wanakushauri upuuzi kadanganye kakuibia hela tena ndefu na kachukua cheni yako ya dhahabu hii kitu inawa-cost sana.

Atakiona cha moto
 
Mada inanihusu sababu aliyedhalilishwa ni binaadam kama mimi,
Sasa mkikaa kwenye vikao vyenu muambizane kua mkifumania mdeal na waume zenu lakini mkidhalilisha michepuko ya waume zenu mwisho wenu ni jela huku mnaziacha familia zenu katika hali mbaya,

Rejea kwa Agnes.
Tegesha mbunye utajua mi ni me au ke

Unataka kuhalalisha ugoni kama ambavyo umehalalisha mapenzi ya jinsia moja kwako? wewe na mwanaharakati mwenzako Joyce mtulie

Hata akienda jela AGNES anabaki kuwa shujaa japo kafeli sehemu moja aliyemfumania anaendelea kupumua mpaka sasa

Na tutakula tigo na shingo za wagoni kwa sana hatutaacha
 
Yule sister aliekua natoa kipondo ana roho ngumu sana.. mimi na ugumu wangu huu siwezi kumpiga mtu aliekaa chini. Yaani nikikupiga ngumi ukianguka kama huna nia ya kusimama nakuacha hapo hapo siwezi kukuongeza nyingine. . Nitakuongeza kama una mpango wa kuendelea kupambana..

Sasa yule maza alikua yuko chini helpless lakini bado anapigwa. Aiseeh ule ni ukatili.

Na yule mpigaji kinachoenda kumkuta ni kibaya sana. Maana naona ameanza kupewa kesi za kumvamia mtu dukani kwake na kumpiga kisha kuchukua laki 9. Tayari anapewa kesi ya ujambazi.
Kiukweli me mwenyewe baada ya kuangalia ile video nimemsikitikia sana huyu muhanga, eti anamwambia piga magoti nishike miguu yangu omba msamaha, shenzy kabisa ufuska wa mume wake hasira anahamisha kwa mwingine, yale yote alitakiwa ayafanye kwa mumewe, ampige Mumewe, amshikishe miguu yake Mumewe, lakini sio mchepuko.
 
Tegesha mbunye utajua mi ni me au ke

Unataka kuhalalisha ugoni kama ambavyo umehalalisha mapenzi ya jinsia moja kwako? wewe na mwanaharakati mwenzako Joyce mtulie

Hata akienda jela AGNES anabaki kuwa shujaa japo kafeli sehemu moja aliyemfumania anaendelea kupumua mpaka sasa

Na tutakula tigo na shingo za wagoni kwa sana hatutaacha
Wenyewe mnajiita 'wamama mijengo',
Mnakuaga na hasira za mkizi
Ndoa zinawapeleka puta, Michepuko inawapeleka puta, Mikopo inawapeleka puta, hadi mawigi ya kichwani yanawapeleka puta.

Shujaa wako anaenda jela kukutana na mashujaa wenzie waunde kikundi cha ushujaa nyuma ya nondo.
 
Kujichukulia sheria mkononi ni kosa la jinai,halafu unaanzaje kumpiga mwenzio kisa mwanaume ambaye mmejuana ukubwani?
Wewe hujui nakwambia huzijui hasira.
Mimi kwa demu wangu tu nakukata dudu hilo sembuse mke.

Mimi sijui sheria ila wanaojua watanisaidia.
Nimekushika na mke wangu mnafanya ugoni hasira zikanipata balaa nikanyanyua jeki nikakutwisha nayo kichwani ukafa sheria inasemaje?
 
Wenyewe mnajiita 'wamama mijengo',
Mnakuaga na hasira za mkizi
Ndoa zinawapeleka puta, Michepuko inawapeleka puta, Mikopo inawapeleka puta, hadi mawigi ya kichwani yanawapeleka puta.

Shujaa wako anaenda jela kukutana na mashujaa wenzie waunde kikundi cha ushujaa nyuma ya nondo.
Hafungwi mtu hamna kesi hapo.
Kwanza huyo mgoni (kahaba) anazidi kujizidishia makosa amesema kaibiwa laki tisa blah blah nyingi pia kashikwa ugoni.

Ataenda kuidanganya mahakama adhabu yake nadhani unaijua, sasa usije kushangaa huyo Joyce yuko uraiani
 
Back
Top Bottom