Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,934
Wanatetea uzinzi, hata huko kwenye sheria atapata msaada, ukikutana nao ni kipigo tuMuonekano tu wa huyo wanaemtetea unatia mashaka haya kaiba bwana wa mtu leo anakuja na drama ya kumuibia tena hela Agnes kupitia visheria koko
Na ukiangalia wengi wanaotetea hapa ni wachepukaji na inabidi wajue ukikamatwa na AGNES either utatinduliwa mtaro ikiwezekana mtungo kabisa au kipigo heavy
Hatuhalalishi uzinzi hongera AGNES we ni shujaa
Sent using Jamii Forums mobile app