The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,615
Mkuu naomba link ya videoBasi tufanye ni kweli.
Sasa, mnadhani basi hata kama ni kweli.... Je, ule udhalilishaji alio fanyiwa ni adhabu sahihi?
Hata basi Kama ni adhabu sahihi, je huyo mwalimu anahaki ya kumuhukumu ama kuadhibu mwenye makosa?