Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 282
Wakuu kuna yeyote ambaye amefanya/anafanya application ya intern pharmacist kwa mwaka huu?.
Unataka nn. Au kunann kilichopunguaWakuu kuna yeyote ambaye amefanya/anafanya application ya intern pharmacist kwa mwaka huu?.
Nilitaka nijue kama document zake zimekuwa approved isikute ni mimi tu nimebakiUnataka nn. Au kunann kilichopungua
Kwanini usiulize huko chuoni kwenu?Nilitaka nijue kama document zake zimekuwa approved isikute ni mimi tu nimebaki
Kuna vitu vingne kama msomi unashangaa akiviuliza kwenye jukwaa. Sijajua lengo la huyu mtoa mada ninini. Je ni ili tumjue jukwaani kuwa anehitim pharmacy au ni nini. Kwani aliomalza nao chuo wameenda wapi had uje huku jukwaani tukujue we mchanganya madawaKwanini usiulize huko chuoni kwenu?
Sio kila mtu amesoma hapa bongo mkuu.Sina ninayemjua ambaye naweza kumuuliza.Kuna vitu vingne kama msomi unashangaa akiviuliza kwenye jukwaa. Sijajua lengo la huyu mtoa mada ninini. Je ni ili tumjue jukwaani kuwa anehitim pharmacy au ni nini. Kwani aliomalza nao chuo wameenda wapi had uje huku jukwaani tukujue we mchanganya madawa