ALIYEMTONGOZA KWA MARA 42 KAKUBALIWA

ALIYEMTONGOZA KWA MARA 42 KAKUBALIWA

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Bob Marley anakuambia ya kwamba
"If she's amazing. She won't be easy
If she's easy, she won't be amazing
If she worth it, you won't give up
If you give up, you're not worthy.. Truth is
Everybody is going to hurt you, you just
Gotta find the ones worth suffering for.

Mwanamke huyu akataa pendekezo la ndoa kutoka kwa mwanaume mara 42 ndani ya miaka saba, lakini mwanaume hakukata tamaa leo kakubaliwa ikiwa ni mara ya 43.

Hongera kwako.. Kama watu wanastahiki tafadhari fanya kwa ajili yao.

Funzo katika hili : Siwezi kumtongoza mwanamke zaidi ya mara moja akikataa mara ya kwanza nakula buyu.


_20250802_120859.JPG
 
Haya, watanzania wanataka kujua kama huyo mwanamke alikuwa bikra au vp?

Mana inawezekana jamaa amepambana mara 43 ili ataambulia kukoroga sukari kwenye bahati 😎
 
Interval ya hiyo mara 43 ikoje!?

Usikute katoka hizo 42 zote demu alikuwa na matumaini Kwa muhuni mwingine, baada ya kuona anatinduliwa bila manufaa kaona hiyo ya 43 amkubalie mchizi aone na huku kukoje..
 
Back
Top Bottom