Aliyemtia mimba mwanafunzi anafanywa nini?

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,767
1,703
Uzi huu uachwe ujitegemee.
Kama sio uonevu kwa mwanafuunzi wa kike ni nini? anatiwa mimba na mwanafunzi, baba au kaka wa kufikia au mtu mwingine halafu jamii linamhukumu peke yake,inakuwaje?
Imefika sasa kama jamii na taifa kwa ujumla kutenda haki,aliyetendwa na aliyetenda wote wana makosa na wote wanastahili adhabu.
Tumeshuhudia mabinti wakitupa watoto,wakijiua na hata kuwatekeleza watoto wao kutokana na huu mfumo dume wa kutowawajibisha wanaume waliowatia mimba na hatimaye tunalaumu kuongezeka watoto wa mitaani.
Napendekeza ikithibitika mtoto wa shule ametiwa mimba basi aliyehusika awajibishwe na akigoma kufanya hivyo basi adhabu kali itolewe ikiwezekana ahasiwe.
 
Nimekuelewa sana ila unazungumza kama wewe ndo umefanyiwa hivyo, ila kwa uelewa wangu ukiona mwanafunzi amepewa mimba halafu mtu aliyempa mimba yupo mtaani basi jua wazazi wake ndo wamemalizana kisanii hivyo usiiilaumu serikani kwani sio jukumu la serikani kushitaki watu bali mtu anapotendewa kosa hushitaki kama hajashtaki huwezi lazimisha mkuu
 
aisee mnatutisha bwana na hizo adhabu mnazotaje muwe mnatuhurumia saa nyingine shetani anatupitia tu halafu vinatutega wenyewe
 
Unless awe amebakwa. Kama binti akitandikwa mimba na akafukuzwa shule, chances are low kwamba atamtaja aliyefanya kazi ile. Akimtaja akafungwa miaka 30, nani atamlipia tena ada ya kwenda ''VETA'' maana Magufuli anataka waende hulo hao wazazi?
 
Back
Top Bottom