Aliyempa mimba mke wa mtu, amnunulia gari mume

Umaskini wa
Fedha na
Pia akili

Ndo unafanya watoto wengi wakiume na hata wanaume kugawa makalio kisa fedha.....ushenzi mkubwa.

Heshima, mila na desturi lazima kudumisha

Mtu lazima afe......ukila gizani nisijuwe sinto umia...sio kujitanza khaaa
 
watu wanagongewa bure na wanafahamu ila hawana jinsi, ilo ndinga hata mimi nisinge liacha maana hata nkikataa jamaa kashatia govinda lake ntafanyaje.

Njaa ikihamia kichwani ni shida sana, hakuna namna jamaa ametimiziwa ndoto ku drive ilo ndinga
 
Ukitaka kujuwa kwanini ndoa hazidumu siku hizi

Fatilia uzi huu...watu hawana uchungu kabisaa

Hawana uchungu, mke anauma jamani laaaa

Mke anaumaa....simliwa tu...labda uwe umejiolea bila kupenda, bila malengo na haujui maana halisi ya mke.
 
Mimi zawafi naipokea bila shida, na tunabadili kila kitu kinakuwa kwa jina langu, naenda kulipiga bei.

Kama tumepanga ni rahisi, nahama zangu kimya kimya. Au namruhusu tu aondoke. maana hata usipopokea walishafanya yao, pokea then fukuza.
 
Kwa mwanaume wa kweli hii zawadi haikubaliki, hii ni dharau iliyovuka mpaka!
Zawadi ni ajinyonge!
 
Mimi mtu akimtia mimba mke wangu akanipa LEXUS RX namuachia kila kitu kuanzia huyo mke na mimba yake..
Alaf mimi natembea zangu na lexus yangu
Alafu kila ukiiendesha unamkumbuka aliyemgonga aliyekuwa mkeo tena bila ndom, yaani nyama kwa nyama na akakojoa ulipokuwa wewe unakojoa kihalali, alafu kukunyamazisha jamaa anakupa ndinga. Ni mwanaume feki utakubali haya mateso ya kisaikolojia.
Hiyo gari siwezi iendesha!! Kuchapiwa tena mpaka mimba sio kitu kidogo kwa mwanaume rijari.
 
Aisee
Kuna watu wana mioyo kiurahi rahisi tu ni hilo gari au na mtoto unalea sio wako richmavoko hajakosea kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Haki ya Mungu!! Imenikumbusha siku nipo pale Mcity halafu mtoto mmoja wa General Fulani hapo Bongo akataka kujifanya handsome boy kwa demu wangu. Yule bwege atanisahau.
 
Mkuu kuna watu tunawashuhudia wanachapiwa na mke anaomba taraka hata buku hawapati..
Si bora nichukue ndinga ya maana nipozee maumivu...
 
Binadamu mwenye akili timamu hawezi acha hilo benzi wwe,kama tayari kasha chepuka ujue kuna kitu wewe umemiss kwa hiyo ili kurekebisha na wwe unakuwa mbunifu tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…